Kati ya abiria 20'000 ndani ya meli ya kampuni ya usafirishaji wa abiria nchini Italiani ya MSC wakiwemo abiria 64 raia wa Kibelgiji wamekwama katika bahari ya Baltic baada ya Injini ya Meli hiyo kuleta matatizo ya kiufundi.Matatizo hayo yaliyochukua takribani siku mbili sasa,wafanyakazi wa meli hiyo wamejaribu kujitahidi kulitatua tatizo hilo ila bado limeonekana kuwa gumu kwa upande kwao na kuisogeza meli hiyo karibu na mji wa Stockhom nchini Sweden kwa msaada zaidi,hakuna mtu yoyote aliyepatwa na tatizo lolote mpaka hivi sasa.Chanzo cha tatizo linasemekana ni kukatika kwa umeme ghafla ndani ya meli hiyo.
0 Comments