Akipokelwa na wenyeji wake nchini Greece.Diamond bado yupo Ulaya.
Wakipata Flash za kumbukumbu ndani ya Ugiriki.
Weka Flash na washikaji... 
 Na hapo je?Ongeza nyingine....
Na hii je?Diamond alipowasili Ugiriki alipokewa vizuri na wenyeji wa huko,picha zote toka kwa Amani Masue.