Mbunge wa Chadema Mh;Freeman Mbowe akirudisha Shangingi bungeni kwamba hawezi kutumia gari la thamani kiasi hicho huku wananchi wanakufa na njaa.