Ni story ya kusikitisha sana juu ya huyu mwadada pichani akijielezea jinsi alivyobakwa na wanajeshi watatu kipindi kile cha vita nchini Congo.akielezea story yake nzima anakufanya hata wewe msikilizaji uanze kulia,je na wewe unataka kujua nini kilimtokea? na upo tayari kulia?kaa mkao wa kula nakuandalia story nzima na tukutane hapa kwenye ukurasa jumapili ijayo.