Hapo kwenye picha kuna wachezaji ambao walikuwa tegemezi katika timu zetu za Simba na Yanga,nawazungumzia Ali mpemba mwenye fulana ya rangi nyeupe na nyeusi na Abou Nuru huyu wa kwanza mwenye fulana nyeupe,Ali alikuwa Simba na Abou alikuwa Yanga,pichani wakipata Ugali,dagaa kwa Kachumbari.Kwa mchezaji wa kutumainiwa lishe kama hiyo atafika mbali kweli?MagangaOne blog inawasalimia sana popote walipo kwani tulikuwa wote hizi hizoo.
Wadau wakipiga NGUNA,dagaa na Kachumbari...ni mlo wenye mambo mengi mwilini ila sijui kwanini hatujiamini.


1 Comments