Rais Jakaya Kikwete akiagana na Princess Astrid wa Ubelgiji mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu, Dar es Salaam. Princess Astrid alifuatana na mumewe, Prince Lorenz. (Picha na John Lukuwi).