Msanii nguli katika nyanja ya BongoFleva Joseph Haule al-maarufu kama Professor Jay ama Heavyeight Mc amekuja na kibao kipya baada ya kimya cha muda mrefu.sikiliza kibao hiki kupitia link hii http://www.bongocelebrity.com/2011/05/22/kama-ipokupanda-na-kushuka-prof-jay-bc-exclusive/#axzz1QNL9jQxb