Wapenzi na wasomaji wa Maganga One Blog kumejitokeza baadhi ya watu wamekuwa wakinitumia maoni ambayo hayaeleweki katika usomaji wake,mengi ya maoni yao yamekuwa yakitumiwa na lugha za ajabu ambazo hazipo katika mfumo wa lugha za kawaida.Na wengine wamekuwa wakishindwa jinsi ya kutuma maoni kwa kutokujua jinsi ya kufuata utaratibu wa utumaji wa maoni yao.Kwenye kila habari mwisho wa habari chini kabisa kuna sehemu ya neno COMMENTS lenye maandishi mekundu,unachoatkiwa kufanya ni kugonga pale na baada ya hapo patafungua kijinafasi cha kuandika maoni yako.Andika maoni na ukipenda jina lako lionekane utafuata taratibu za ku'sign in after submitting your comments' au kama hutaki jina lako lionekane bonyeza pembeni kwenye kiduara cha neno ANONYMOUS kisha fuata taratibu zinazokuelekeza kisha bonyeza neno PUBLISH YOUR COMMENT.Nitafurahi endapo kila atakayependa kutoa maoni,mapendekezo,ushauri au lolote lenye manufaa kama atumia utaratibu mzuri wa maandishi yake ili kuheshimu kile alichoandika.Tunakaribisha habari yoyote yenye ukweli,matukio yoyote yanayokubalika kijamii,unakaribishwa kuchangia lolote lenye maendeleo kwa jamii.jinsi ya kuwasiliana namba ya simu ipo chini ya ukurasa huu na email adress kadhalika ipo chini kabisa ya ukurasa huu.Nawashukuru wote mnaojumuika na Maganga One Blog kila siku..Tushirikiane kwa pamoja,kwani hakuna linaloshindikana,Ahsanteni sana.Maganga One.
0 Comments