Juu ya kitanda chake bila wasiwasi wowote akisubiri tu kujifunika ili alale.
Hupendelea mazoezi ya hapa na pale,na yupo Happy na kuhusu mwili wake.
Kwenye sofa huku akisubiri kupata picha halafu aendelee na kuangalia Tv.