Spika wa Bunge, Anne Makinda akiwaonesha wabunge mjini Dodoma, kombe ambalo Ofisi ya Bunge imelinyakua kwa kushika nafasi ya pili katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika Dar es Salaam kwa kushirikisha taasisi mbalimbali za umma kutoka barani Afrika yaliyofikia kilele Juni 23, mwaka huu. (Picha na Owen Mwandumbya).