Vodacom Miss Morogoro wa mwaka 2011, Asha Salehe( kati kati) akiwa na mshindi wa pili, Ritha Kavishe (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Sharrifa Issa ( kushoto),warembo 15 walishiriki katika shindano hilo kwa mwaka huu.
Warembo walioshinda hatua ya tano bora kwenye kinyang’anyiro cha mkusaka Vodacom Miss Morogoro 2011 wakiwa katika picha ya pamoja , Julai Mosi ,mwaka huu.
Warembo wa Kinyang’anyiro cha Vodacom Miss Morogoro, 2011 wakiwa katika picha ya pamoja baaada ya kupita mbele ya watazamaji wakiwa na vazi la ubunifu.