Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wanachama wa CCM (hawapo pichani) waliohudhuria maadhimisho ya kuzaliwa kwa TANU yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam Julai 6 usiku. Kushoto ni mkewe Mama Salma Kikwete. (Picha na Freddy Maro).