Nimejaribu kufuatilia kwa kina sana kuhusu wanywaji Chai,Kahawa na hata maziwa mara nyingi huwa hawatoi kijiko ndani ya kikombe wanachonywea,hivi ni kwanini? na wakati sukari kashaikoroga vizuri.....???
Ona na hii picha kadhalika..yani kijiko hakitoki ndani ya kikombe nini hasa maana yake wakati kama kukoroga umeshakoroga vyema? Mwenye jibu tafadhali....