Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu mzee David Zimbihile wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika Muleba mkoani Kagera. Mzee Zimbihile aliwahi kuwa Mbunge, pia kushika nyadhifa mbalimbali CCM, na aliaga dunia katikati ya wiki iliyopita.(Picha na Freddy Maro).