Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila (NCCR-Mageuzi) na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia (kulia) wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kidahwe-Uvinza kwenye kijiji cha Kazuramimba. (Picha na John Lukuwi).