Rais Jakaya Kikwete akipita jirani na mikahawa ya mfano, kwenye maonesho ya vyama vya ushirika kuadhimisha Siku ya Ushirika Duniani kwenye viwanja vya Gymkhana mkoani Kagera. (Picha na Ikulu).