Mabingwa wa soka Tanzania bara,Dar es Salaam Young African imefanikiwa kuingia fainali za kombe la Kagame,baada ya kuifunga timu ya Ethiopia kwa matuta.Yanga imetoa tahadhali kwa watani wake wa jadi Simba ya Msimbazi kuwa wakae mkao wa kula hiyo siku ya Jumapili kwani watake wasitake watatoka uwanjani wakiwa wamechakazwa vibaya vibaya.
Post a Comment
1
Comments
Anonymous said…
simba wao wanasubiri dakika 90 ndio msema kweli kwani yanga nimteja wa simba
1 Comments