Kama mnavyojionea pichani ni Mkeki ambao bwana Issa Michuzi aliandaliwa kwa ajili ya siku ya kuzaliwa kwake...
Weraaa weraaaaaaaaa Issa Michuzi akilishwa keki na mama watoto wake hapoooo..nani anajua miaka ya Ankal Michuzi?...mtu atakayeweza kuotea zawadi nono atapata... Maganga One Blog inamtakia kila la heri katika shughuli zake na maisha marefu ya kuendeleza Libeneke.