Aliwasili msikitini kwa ajili ya kubadili dini,watu walikuwa wengi sana na kila mmoja alipenda kuona kwa macho yake kama kweli Jose Chameleon kweli anakuwa muislamu?
 Karibu yakhe,karibu sana bwana mdogo,hapo ustadhi ndio anamkaribisha kijana wao masjid.
Sikiliza mawaidha kwanza yakuingie na ndipo ukubali kwa hiari yako kubadili dini kijana unasikia eehe? hapo alikuwa akimsikiliza swahiba wake kama unavyomuona.. 
Haya kwa hiari yako kubali na kufuatisha nitakachosema sawa? sawa mzee.... 
Haya kazi imeanza...Hivi ndivyo kufunga sala kaka sawa? sawasawa.. 
Hapa tunaita kurukuu umeelewa? ndio ustadhi...... 
Na hivi ndio kusujudu baba upo? nipo mkuu, MUNGU katuumba tumsujudie na hivi ndio anataka umeelewa? nimeelewa mkuu,haya unafikiri kuna kazi basii.
      Who is Next? kama kawaida yangu NAZIKAANGA MBUYU HAYA WENYE MENO KAZI KWENU...........