Kwa Afrika mashariki na nchi nyingine za Afrika kwa ujumla ukizungumzia jina la Joti kila mmoja atakuwa anamfahamu either kwa kumuona kwenye Luninga au kumuona kwa macho.ni msanii ambaye amejijengea jina sana katika sanaa ya uchekeshaji.kwa leo sitamuongelea sana ila tusibiri baada ya wiki kadhaa tutawaletea mahojiano kati ya Maganga One Blog na Joti mwenyewe.kaa mkao wa kula na kumsikia Joti analonga nini.....