Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiweka udongo katika kaburi la marehemu Mussa Khamis Silima aliyezikwa kijijini kwao Kiboje Mwembeshauri Mkoa wa Kusini Unguja. Marehemu alikuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini na Mbunge wa Kuteuliwa na Baraza la Wawakilishi Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu).