Hongera Rais wa Marekani bwana Barack Obama kwa kujaaliwa kufika miaka 50,MUNGU akupe afya njema uwaongoze vyema watu wako waliokupa dhamana USA,Uongeze misaada kwa nchi za Afrika,usamehe madeni kwa nchi masikini na uachane na mambo ya visasi na nchi za kiarabu na mikwara ya kupiga hovyo nchi masikini Ameen.
 Haya waungwana kila mmoja achukue kipande jamani,msimnajua suna suna kila mtu apate....
 AAaah na wewe mzee upo?Ahsante sana haaaaaaa haaaaa haaaa..
 Thank you Everybody,thank you,thank you..............
 Upppppuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu........!!!!
Kila kona ya mtaa ukipita ni mabango ya kumpongeza kiongozi wao kwa siku yake ya kuzaliwa.
Mamma yanguuu,Obama;ObamaObama;Obama,Obama yani ni full shangwe,Aisee huyu jamaa anapendwa.
 Mr President una haki ya kufurahi,haya kafungue kazawadi kako nyumbani eeehhh...
 Enzi zake hapo walikuwa wakimuita Dogo Barack na kijibaiskeli chake..kumbukumbu nzuri jamaniiii.
Maandalizi ya Birthday Party yalikuwa ya nguvu,mpaka First Lady Michelle naye hakujivunga kuwajibika.