Rais Jakaya Kikwete akizungumza na walemavu Mohamed Othman Omari na Khamis Said Abdallah muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Pemba. (Picha na Freddy Maro).