Kikweli jamani wenzetu nyumbani Afrika wanakufaa na njaa,tuwasaidie kwa hali na mali ili kunusuru maisha yao yanayopotea kwa uhaba wa chakula.
Ona familia hii jinsi inavyoangamia,hawana chakula na hawana matumaini tena na maisha yao,ewe muungwana jitahidi kwa hali yoyote kuisaidia Somalia na watu wake.
OOooopss!!!!inasikitisha sana.