Ili kuitwa mrembo sharti Urembeke,na uzuri ni vigezo vingi ndani yake.Mazoezi ni moja ya siri ya uzuri wa sura,mwili na vinginevyo,pichani warembo wanashiriki katika kinyang`anyiro cha kugombea taji la Umiss Vodacom Tanzani 2011 wakiwa ufukweni mwa bahari wakifanya mazoezi ya viungo.
Kama hukufunzwa na mama basi ulimwengu utakufunza.hayaa chinii,chiniii,chiniii......