Ndege ndogo aina ya CESSINA 210 yenye namba za usajili 9JB1O ya Afrika Kusini iliyoanguka katika shamba la mahindi la Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Uyole jijini Mbeya ambapo watu wanne akiwemo aliyewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Mohamed Ramia (64) wamenusurika kifo. (Picha na Joachim Nyambo).
0 Comments