Msafara wa rais mstaafu Benjamin Mkapa ukiwasili Igunga tayari kwa kampeni.
Mashabiki wa CCM wakiwa kwenye msafara wa mapokezi ya rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akisalimia wananchi baada ya kuwasili kijiji cha Makomero nje kidogo ya mji wa Igunga mkoani Tabora tayari kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.
Mwenyekiti wa CCM mstaafu, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akimsalimia Mgombea ubunge jimbo la Igunga, Dk. Dalaly Peter Kafumu katika mapokezi yake Igunga jana. Katikati ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba ambaye ni mratibu wa kampeni jimbo hilo.




0 Comments