Bondia Francis Cheka kulia akiendeleza mashambulizi kwa mpinzani wake Mada Maugo katika mpambano uliofanyika mjini Morogoro,Cheka alimshinda mpinzani wake kwa pointi baada ya wote kumaliza pambano kwa raundi zote kumi.
Aliyepiga magoti ni bondia Mada Maugo akijaribu kuinuka baada ya kupokea mikono ya mfululizo toka kwa Francis Cheka,Bondia Francis Cheka bado ana rekodi nzuri ya kushinda wapinzani wake wa ndani.Pambano lilifanyika mkoani Morogoro na Cheka kushinda kwa Pointi,pambano lilikuwa ni la kirafiki.
0 Comments