Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye (kushoto), akitoa malalamiko yake mbele ya Kamati ya Maadili ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) jijini Dar es Salaam jana dhidi ya gazeti la Mtanzania kwa madai ya kukashfiwa.Kulia ni mwakilishi wa gazeti la Mtanzania, Balinagwe Mwambungu.(PICHA: TRYPHONE MWEJI)
0 Comments