Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na kiongozi wa Serikali ya Mpito ya Libya, Mustafa Abdel-Jalil , jijini New York, Marekani, ambako wote wanahudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa. (Picha na John Lukuwi).