Hii siku kiukweli sio tu Marekani ambayo hawawezi kuisahau..mimi mmoja wapo ambapo siwezi kuisahau kwani ilikuwa siku chungu sana kwa Wamarekani.Mungu awasaidie wawe na moyo wa Upendo,Amani na kutopenda Vita au mauaji ya kuuwa watu wasio na hatia,na kadharika wapate Imani ya kutoingilia nchi za watu na kuwatawala.Mungu Ibariki Amerika na watu wake.
1 Comments