Ni mdada toka nchini Angola ambaye alituwakilisha vyema bara letu la Afrika.kuukwaa umiss Universe sio kitu kidogo ukizingatia mataifa ni mengi sana yanayoshiriki katika kinyang`anyiro hicho.Kiukweli bidada Leila Lopez anastahili kupewa umiss huo.Viva Afrika,Viva Angola.