Warembo tano bora waliofanikiwa kuingia katika kinyang’anyiro cha Vodacom miss talent 2011 ambapo Rose Albert watatu toka kushoto alifanikiwa kunyakua taji hilo usiku wa kuamkia leo katika hotel ya Giraffe jijini Dar es Salaam
Mrembo Rose Albert akionyesha kipaji chake katika siku ya kumtafuta Vodacom Miss Talent 2011 ambapo alifanikiwa kunyakua taji hilo, usiku wa kuamkia leo katika hotel ya Giraffe jijini Dar es Salaam
Rose Albert akiwapungia mkono watazamaji mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa shindano hilo.