Enzi hizoo nikipelekwa na mzee wangu nalia kwa machungu ya shingo kuuma.Vinyozi hawa tatizo lipo pale anapokuinamisha shingo yani utakuta anakuinamisha shingo hata robo saa.