Wazee, Jumanne Abdallah (88) na Paul Kashinde (82) wa Kijiji cha Ngazi Kata ya Itumba wakionyeshana picha ya mgombea wa CCM Dk. Kafumu wakati wakisubiri kwasili mgombea huyo kuhutubia mkutano wa kampeni katika eneo hilo, jana.