Pichani wananchi wakiwasaidia kuwachomoa  wenzao walifunikwa kwa vifusi,ni kelele ma mayowe yaliotawala mahala hapo.
Baadhi ya watu wakiwa hawajui nini wafanye kutokana na kuona ndugu zao wakiwa wamefunikwa kwa nyumba zilizoangushwa na tetemeke hilo la ardhi.pichani mmoja wa wananchi nchini Uturiki akimuomba jamaa aliyeshika kichwa kwamba awe na utulivu kwani shughuli za uokoaji zinaendelea.
Ni kelele za vilio na mayowe kwa kila mmoja ambaye aliona hali kwa upande wake haikuwa nzuri,kwa kweli tetemeko la ardhi ni kusikia au kuona kwenye luninga tu na sio likukute
Watu wakithibitisha kama kuna baadhi ya watu wamebaki katika jengo liloanguka kutokana na mmomonyoko huo.
Shughuli za uokoaji zikiendelea,huku mzee mmoja raia wa Kituruki akiwa amebebwa juu ili kukimbizwa hospitalini.
Mwanamama akikimbizwa hospitalini baada ya kuokolewa na wananchi nchi hapo.Maganga One Blog inawapa pole waathirika wote wa janga hili la tetemeko la ardhi nchi Uturuki.tutaendelea kuwapatia habri kadri zitakavyotujia.