Siku ya birthday ya Jaydine ilikuwa siku ya furaha kwa watu wengi,hapa wana Blogger wawili walipata fulsa ya kumuombea dua mtoto Jaydine.kutoka kushoto ni mwanablogger Abou  wa Swahilivilla.blogspot.com na kulia ni Brother Dj Luke wa Vijimambo.blogspot.com sherehe hizi ziliwakutanisha watoto mbalimbali na watu wengine katika ukumbi wa Pilgrim Hills Park East Randolph Road, Silver Spring Maryland Nchini Marekani. Mkuu wa http://magangaone.blogspot.com inamtakia kila la heri mtoto Jaydine akuwe katika maadili mema ya dini.