Wapenzi na wasomaji wa Maganga One Blog.
Napenda kuwatangazia kwamba kwa wale wote wenye kutaka kupata matokeo ya mpira Ligi Kuu nchini Uingereza,ukiangalia vizuri pembeni ya Blog hii kulia chini ya kijibox cha hali ya hewa utaona kijibox kidogo chenye matokeo yote ya ligi kuu nchini Uingereza na ya Champions league pia yanaonekana hapo hapo.
Matokeo hayo ni live kwa kila timu zinapokuwa uwanjani,na yanaendelea kuwepo mpaka mabadiliko ya timu zingine yanapoanza.Nitaendelea kutoa matokeo hapa kwenye ukurasa kama kawaida ila ieleweke wazi kwamba matokeo yote live yapo upande wa kulia wa Blog hii chini ya kijibox cha hali ya hewa.
Nategemea kila mmoja atakuwa amenielewa.Ahsanteni sana na nawashukuru kwa ushirikiano wenu. Maganga One.
0 Comments