Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (mwenye miwani) akisikiliza maelezo ya soko la mazao la Isongole wilayani Ileje kutoka kwa Ofisa Kilimo wa Wilaya hiyo, Herman Njeje alipotembelea soko hilo. (Picha na Joachim Nyambo).