Mrembo wa Tanzania 2011, Salha Israel akimtazama mtoto mchanga wa kike ambaye ameamua kuchukua majukumu ya kumlea na kumpa jina lake la Salha, wakati alipotembelea kwenye wadi ya watoto ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam na kutoa msaada wa vitu mbalimbali. (Na Mpigapicha Wetu).