Mwanamke kutoka Ufaransa ametekwa nyara na kundi la watu waliokuwa na silaha karibu na Lamu, Kenya.
Shambulio hilo limetokea majuma matatu tu baada ya watalii wawili kutoka Uingereza kushambuliwa piya huko Kiwayu, kaskazini zaidi ya mwambao wa Kenya.
0 Comments