Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu balozi wa Ujerumani nchini Mhe.Klaus-Peter Brandes na baadaye kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam jana asubuhi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao maalumu cha wadau wa sekta ya nishati nchini kilichofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana (picha na Freddy Maro)