Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na watanzania waishio Australia wakati alipokutana nao mjini Perth unakofanyika mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola jana jioni. (Picha na Freddy Maro )
Picha ya pamoja ya wanajumuia wa kike wanaoishi Australia pamoja na Mke wa Rais na Mama Salma Kikwete baada ya kumalizika kwa mkutano wa Rais Kikwete na Watanzania wanaoishi Australia leo.
(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO. )
0 Comments