Waziri wa Fedha, Mustafa Mkullo akikabidhi Tuzo ya Shirika Bora kwa kuwasilisha michango ya wafanyakazi kwa wakati kwa Mfuko wa Pensheni kwa Mashirika ya Umma (PPF), Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN) kwenye ufunguzi wa mkutano wa 21 wa PPF Arusha. Anayepokea ni Ofisa Rasilimaliwatu wa kampuni hiyo, Hassan Juma. (Picha na Muhidin Issa Michuzi).