Wanenguaji wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ wakiwajibika jukwaani kwenye onesho lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar es Salaam. PICHA : RICHARD BUKOS / GPL