Watu wengi tunakula chakula aina moja kwa wingi sana.Angalia picha hii utagundua kwamba kula kwetu sana kwa aina moja ya chakula utusababishia kuvimba matumbo.hapo hakuna Salad,mbogamboga za majani na hata juisi,hali hii usababisha hali ya mwanadamu kudumaa na kutufautiana na muonekano wa umri wake.
0 Comments