Francis Miyeyusho kushoto na Mbwana Matumla kulia wakionyesheana ngumi kila mmoja mara baada ya kupima uzito jana.Leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee patakuwa hapatoshi pale watakapotwana kutafuta bingwa.Kila mmoja amejigamba kuondoka na ushindi,hivyo tutegemee kuona pambano zuri na la kusisimua jioni ya leo.
0 Comments