Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars hapo wachezaji wakiwa uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere wakijiandaa kukaguliwa Passport zao tayari kwa safari yamjini Marrekech nchini Morocco ambapo wanakwenda kuchuana siku ya jumapili kwenye group D Kuwania nafasi za kucheza fainali za Mataifa ya Africa yatakayofanyika mwakani.
0 Comments