Pichani ni baadhi ya wanafunzi wakivuka maji kila siku wanapokwenda shuleni na kurudi nyumbani.Maji ya bahari yanayoendelea kuingia kwa kasi katika kijiji cha Sipwese sehemu za kengeja kusini mwa Pemba.Hali hii ambayo imekuwa ikifumbiwa macho na viongozi wetu uenda ikaleta maafa makubwa hapo baadae.(Na swahiba wangu wa swahili Villa)
0 Comments