Askari wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabara, akikagua basi aina ya Scania lenye namba za usajili T 207 BFJ mali ya kampuni ya Budget lililopinduka jana majira ya saa 12:30 asubuhi…
Basi la kampuni ya Budget lenye namba za usajili T 207 BFJ aina ya Scania likiwa limepinduka eneo la Mlimanyoka jijini Mbeya jana.(Picha na Mbeya yetu)